
Bensoul Nairobi Mp3 Download Audio
Kenyan talented singer, Bensoul comes through with a new single titled “Nairobi“, the heart of Kenya.
Bensoul’s new record “Nairobi” features the likes of Sauti Sol, Nviiri the Storyteller and Mejja.
With production credits from SoFresh.
Listen and share your thought below:
Bensoul – Nairobi ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja MP3
Bensoul Nairobi Lyrics
Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana
Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin’ nikikurudia
Umenitesa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana
Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama
Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender