Bien Stay Lyrics
Stay
Kila mtu amezaliwa na nyota
Siku yako ikifika wataona
Everybody in the world is gonna wonder
Dumba gani ulitumia amauliangukia brathe
Kila mtu anaweza
Kudance na obama
Kila mtu anaweza kufika ikulu
Sisi wote ni mali ya mungu
And if it happend to me i could happen to you
I need you to stay another day
I need you to live another day
I’m begging you
Don’t throw you life away
I need you to stay another day
Stay another day
Ndege huruka kimo cha mabawa yake
Usijitoshanishe binadam usiwaige
Tena wivu isikushike imani yako ivunjike
Juu vidole havitoshani
Hata jegi hazifanani ise
Kila mtu anaweza kudandia choppa
Kila mtu anaweza kufika ikulu
Sisi wote nibmali ya mungu
And if you’re praying for me
Brother I’m praying for you too
I need you to stay another day
I need you to live another day
I’m begging you
Don’t throw you life away
I need you to stay another day
Stay another day