VIDEO: Christina Shusho – Muujiza Mp4 Download | NaijaPower

VIDEO: Christina Shusho – Muujiza

Christina Shusho Muujiza Video
VIDEO: Christina Shusho – Muujiza

Christina Shusho Muujiza Video Mp4 Download

Tanzanian Gospel minister, Christina Shusho has released a new single titled ‘Muujiza‘.

The marvelous song ‘Muujiza‘ was taken from Christina Shusho’s previous project, ‘Relax‘ album.

Video was shot and directed by Hanscana.

Watch and share your thoughts below;

Christina Shusho – Muujiza VIDEO MP4

Christina Shusho Muujiza Lyrics

Si kwa bahati mbaya uko hai leo
Na si kwamba wewe ni mjanja kuliko wale waliolala
Ila yote ni muujiza wa Mungu tu
Ni muujiza tu

Nikilala niamke, nikiona natembea
Mwenzenu, kwangu ni muujiza
Asubuhi kunakucha, Jioni iikingia
Maisha yangu, mimi ni muujiza tu

Siku ikipita, mwezi na mwaka unakwisha
Mimi, hii kwangu ni muujiza tu
Ewe Yesu, Ee Yesu, Bwana wangu we
Oh kwangu ni muujiza

Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza
Ee Bwana, we kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza
Ee Bwana, we kwangu ni muujiza