East Africa

Country Wizzy – Poa ft. Marioo

Country Wizzy Poa
Country Wizzy – Poa ft. Marioo

Country Wizzy Poa Mp3 Download

Tanzanian sensational singer, Country Wizzy has released a brand new single titled “Poa,” which features Marioo.

“Poa” is a danceable new form of music through a mixture of soul, jazz and rhythm with greater emphasis on the beats.

It’s a song that describes and expresses either a strong emotion or surprise about different life events.

The song was produced by Tanzanian record producer, Cuckie Daddy.

Listen and share your thoughts below:

Country Wizzy – Poa ft. Marioo MP3

Country Wizzy Poa Lyrics

I’m a badman kitaa kimenielea
I’m a goodman kitaa kimenifunza
Kwetu hakuna magari
Shule ya kayumba yumba yumba
Umetukuza ugalı
Kwa kuyumba yumba yumba
Mungu wa kwetu ndo Mungu wao
Tuna vyakwetu wanavyakwao
Usione tu raha zao zipo na shida zao
Hawajui utamu wa makoko
Shule kwenda kwa ngoko
Kwenye vigodoro kula kopo
Kutongoza kwenye chocho

Wanangu wa kinondoni mambo vipi? (Poa)
Ilala Mambo vipi? (Poa)
Wanangu wa temeke mambo vipi? (Poa)
Kariakoo mambo vipi?
Nauliza kinondoni mambo vipi?
Ilala mambo vipi?
Temeke mambo vipi?
Kariakoo mambo vipi?

Nilipotoka mpaka hapa baba lazima nisherekehe
Mana majukumu yalinianza nilipo balehe
Kama starehe nazofanya zinakukera nisamehe
Mana nilikotoka kula ubwabwa mpaka iwe sherehe
Si walinifunga kwenye banda
Usishangae nimetoka mnyama
Viroboto na chawa wa mjini wananimanya
Cheki namna mimi na pesa tunatazamana
Paka zinapishana ghetto ka nafuga panya
But i am who i am
Hata ww ungekuwa mimi nisingependa so i dont blame
Na niko juu
Everything I do
Me ndo yule aliyefanya watoto wapende mziki huu
So braza ukiona siku hizi watoto wanashoboka
Kaa ukijua n**** longtime nlishasota
Na usiulize hustle hata makopo nishaokota
Sasa hivi chupa nyingi baba nashushia na coca

Wanangu wa bodaboda mambo vipi?(Poa)
Machinga mambo vipi? (Poa)
Wanangu wa dollar moja mambo vipi?(Poa)
Madalali mambo vipi?(Poa)
Wanangu wa bodaboda mambo vipi?
Machinga mambo vipi?
Wanangu wa dollar moja mambo vipi?
Madalali mambo vipi?

Kama unajijua umetokea maisha magumu na una hustle basi piga makofi
Kama kwenu we ndo tegemezi na watu hawakosi kula basi piga makofi
Umeuwa njaa piga makofi
We ni shujaa piga makofi
Ujakata tamaa piga makofi
Nasema piga makofi tafadhali

Wanangu wa A-Town mambo vipi?
Dodoma mambo vipi?
Wanangu wa mwanza mwanza mambo vipi?
Mbeya City mambo vipi?

It ain’t over
Untill it’s over baby
I’m outta here

Leave a Response