Lyrics

Harmonize – Ushamba Lyrics

Harmonize Ushamba mp3 imageHarmonize Ushamba Lyrics

Lyrics

Kondeboy
Weeeeeeeee

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba
inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba yupo kitandani kajilegeza eeh mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
mmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita
eeh huo ni ushamba limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo tunaita eeeh huo ni ushamba hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu vingine haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa
meno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa

tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea muganga unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita eeeh huo ni ushambaa

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa.

hehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala
heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah

Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa

they call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii

Download Harmonize – Ushamba Mp3

Leave a Response