East Africa

Killy – Mwisho

Killy Mwisho
Killy – Mwisho

Killy Mwisho Mp3 Download Audio

Konde Music Worldwide recording artist, Killy comes through with a new single titled ‘Mwisho‘.

Mwisho is a Swahili Word in English Means (It’s Over) is a song that talks about relationships that have challenges in it that comes from a woman I loved and that woman has another relationship.

The song was produced by Terriyo Monster from Imaging sound recording.

Listen and share your thoughts below;

Killy – Mwisho MP3

Killy Mwisho Lyrics

Ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
Usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee,
Kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee
Ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee
(aaaah)

Kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
Unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita,
Umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita,
Nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita

Hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah…!!)
Yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah….!!!)
Basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
Yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..

Leave a Response