
DJ Seven Worldwide Namba Video Mp4 Download
Tanzanian disc jockey, DJ Seven has released the video to his latest single titled “Namba“.
The song “Namba” was a collaborative song by DJ Seven Worldwide and singer, Imuh.
With production credit from Hunter. The video was directed by Yuzzo.
Watch and share your thoughts below:
DJ Seven Worldwide x Imuh – Namba VIDEO MP4
DJ Seven Worldwide Namba Lyrics
Oh nanana nana ee
Imuh
Bboy Beats
Nimekutext mambo
Umenijibu we nani?
Binti Hujambo
Eti namba yangu amekupa nani???
Save kwanza nipumue
Nimepata kwa shida hio namba wewe
Halafu kisha ndo unijue mmh
Nilikuona tu kwenye mitandao
Uo ndo ukweli mama
Umenivutia jinsi ulivyo
Si mbaya tukifahamianaa
Mi wananiita Imuh
AKA zuzu boy
Kila picha yako naweka tick
Si ndIo yule handsome boy
Picha zako na comment emoji
Na wala sikutongozi
Usiwe na shaka na hilo
Shida yangu rafiki vingine situmiii
Ungesave namba mambo mengine yatafuata
(Save namba kwanza)
Ujue nimepata shida sana kuipata
(Save namba kwanza)
We save namba
Save namba wewe
(Save namba kwanza)
We save namba
Nipumue wewe
(Save namba kwanza)
Kakajibu okay
Katanisave Imuh Zuzu
Si ndo nikaona magoal
Eti nitaenda nae taratibu
Kufika jioni
Akanitext my mambo
Tabasamu usoni
Panya kanasa urimbo
We
Akaanza kunichanganyia mada
Mara simu yake imeisha vocha
Mara ana shida ya elfu saba
Halafu pia mama yake ni mgonjwa
Mara nywele zake zinawasha
Nimpe hela aende kusuka
Yaani vyote anasema siku moja
Yaani kama hiyo hela kaiweka mama
Aa basi nimeghairi
Ata urafiki siutaki
Mi mwenyewe bahiri
Utanidangia vipi wewe?
Ungefuta namba mambo mengine yatafuata
(Futa namba kwanza)
Unaleta tamaa wakati jua linawaka wa
(Futa namba kwanza)
Basi we
We futa namba
Futa namba wewe
(Futa namba kwanza)
We futa namba
Nipumue wewe
You can call me ZUZU
You Know what Haha
It’s Dj Seven Man
Worldwide baby!