Young Lunya – Fimbo MP3 Download + Video | NaijaPower
East Africa

Young Lunya – Fimbo

Young Lunya Fimbo
Young Lunya – Fimbo

Young Lunya Fimbo Mp3 Download Audio – Young Lunya Fimbo Video Mp4 Download

Tanzanian serial hit-maker, Young Lunya has released a new song and video titled “Fimbo“.

Apprently, the new song “Fimbo” serves as an insight to Young Lunya’s forthcoming project expected soon.

With production credit from Tanzanian finest record producer, Paul Maker and video directed by Director Ivan.

Listen and share your thoughts below:

Young Lunya – Fimbo 

Young Lunya Fimbo Lyrics

(Chorus)
Hawatuwezi Oooh Nana
Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)

Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa

(Verce 1)
Wakija vibaya Wanakaa
Wambea Vikao Watakaa
Mawaki nafasi ya kuongea siwapi
Huwaga Nawanyanyapaa

Nimewapa Nasafi ya Kunijua Jina Wakataka na Nnapokaa
Leo Napendwa Sababu Nnacho Nikikosa, Habari zitatapakaa

Kung’aa Ndoozeetu
Mambo wena Mfwetu
Watoto kibao wanalia Dm
Sijui Niwagongee Tuu

Na nawawashia Full
Hauzimi Moto wakiifuu
Wanashanga kuona
Rapper wakisasa mwenye pigo za kiold Skul

Tatizo Hawajulikani
Kwa Hivi Nnavyochana Nntabattle na Nani
Kwa sasa Michongo yote ya Zamani
Naipiga X Kama Petit Man

Ni Mimi Tuu na Hizi Stimu za Mjani
Chuki ni chuki kwani kitu Gani
Acha Utani,
Rapper Unayejaribu Kumdiss kwa sasa Hawezekani

Si ndotunakimbiza
Roho Tunawaumiza
Napata kinyaa nikitema yai
Sjui yai langu Viza

Watu hawaishiwi Visa
Ka Natoka Naumiza
Kila wanaponiona Camera Kibao wakazani naigiza (Oh My)

(Chorus)
Hawatuwezi Oooh Nana
Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa)
Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa)

Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya)
Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa

(Verce 2)
There They Go wanga There they Go
Na ukija Kwenye Mziki Mi kisiki U Better know
Why Unaniombea Dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo
Maana ukija kwenye mziki Kila nnachofanya Ni Miracle

Marapa Wadogo nawaonea
Mi ni kama Gonjwa naenea
wanaonijua kitambo wanaelewa
Toka enzi za Uongo na Umbea

Kwenye Beat hawakai wanaelea
Na Ikawe Funzo Buure nawapea
nawaambia Ukweli Sitowaongopea
Nawaona Kama Choo ndomana Nawanyea

Anayewakimbiza katima michano, Kama sio mimi ni nani mwengine
Dundo la Paul likipata Verce ya mbuzi siku zote huwaga Mashine
Mwendo haupoi Nawakimbiza speed kwenye Kona haishuki Uspime
Idadi ya watu wasionikubari Imekuwa ndogo sana Nahitaji Wengine

Leave a Response