East Africa

Zuchu – Mwambieni

Zuchu Mwambieni
Zuchu – Mwambieni

Zuchu Mwambieni Mp3 Download Audio

WCB Wasafi Records songstress, Zuchu comes through with her new record dubbed “Mwambieni“.

The record, “Mwambieni” means Tell Him; it comes after her recent song, ‘Kitu‘ with Bontle Smith, and Tyler ICU.

With production credit from Mr Lg. It is an off her forthcoming project which has been due for release.

Zuchu will be announcing details to her project in a few weeks.

Available on Other Platforms

Listen and share your thoughts below:

Zuchu – Mwambieni MP3 Download

Zuchu Mwambieni Lyrics

Mwambieni
(Mr Lg)
Mmmh mmmh mmmh eeeh

Kaja omba nirudia
Kazirejesha salam
Zamani kakumbukia
Ameumisi utamu
Kaacha Kopa, karamba garasa kaishiwa masikni
Mpeni taarifa za beti mkwasa mi sikumbuki sini
Eeeh! Mwambie mwambie (mali yake ishaliwa)
Ahan, apunguze kampeni (jimbo liisha chukuliwa)
Eh! eeh! Mwambie mwambie (mali yake ishaliwa)
Aah, apunguze kampeni (jimbo liisha chukuliwa)
Wee!!

Kabakimbe mbe (arijonyo mbe) hari hari
(Mbe arijonyo mbe) kaambulia patupu
Yuko chali chali (mbe arijonyo mbe )
(Mbe… Mbe… Mbe..)
Alidhani ameniadhiri
Alidhani amenikomoa
Mungu akanipa Msitiri
Alonipoza nikapoa

Penzi kalijaza ndi ndi ndi
Kanimwagia mwemwere mwemwere
Pole ya kwako kidingi, kwa dandia gedere gedere
Simu za usiku wa saa sita, (ahkasitaki)
Kuni dm insta, (ahkasitaki)
Kuto kuji commentisha
Kuhitimisha vipicha (ahkasitaki)
Eh, Mwambie mwambie (mali yake ishaliwa)
Aah, apunguze kampeni (jimbo liisha chukuliwa)
Oooh!! Eh! eh!

Mwambie mwambie (mali yake ishaliwa chukuliwa)
Aah, apunguze kampeni (jimbo lisha chukuliwa) weeh!..!
Kabakimbe.. (mbe arijonyo mbe..)
Hari hari (mbe arijonyo mbe) kaambulia patupu (mbe arijonyo mbe)
Yuko chali chali (mbe arijonyo mbe) eeeh kabakimbee (mbe arijonyo mbe..)
Si wapendwa like you maa, so kuvutwa so kun’gaa.. (mbe mbe mm be) Inakuuma eeh..?
Twende kiriiinkititi-kiriiintitintintintiti kirintitinti…
Twende ba.., skorobaba yani ba.. yani ba.., korobaba yani ba..! Ahweee!! Ahahahaaa.!

(Kamixlizer)

Leave a Response